middle ad

fahamu historian ya Tanzania.

Historia ya Tanzania Historia ya Tanzania   inahusu eneo la Afrika Mashariki   ambalo wakazi wake leo wanaunda   Jamhuri   ya   Muun...

Historia ya Tanzania

Historia ya Tanzania inahusu eneo laAfrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Muunganowa Tanzania.
Historia ya awali
Nchi ina mabaki ya kale sana yazamadamu (kiumbe aliyekaribiana nabinadamu kwa umbile). Sehemu yaBonde la Ufa, kama Bonde la Oltupai(zamani Olduvai Gorge) lililoko ndani yahifadhi ya Serengeti, ndiko kulikogunduliwa masalia ya viumbe wa jamii ya watu wa kale yenye umrimkubwa kuliko yote yanayojulikana duniani hadi hivi sasa.
Kutokana na ugunduzi huo,wanasayansi duniani wanaamini kuwa Tanzania bara ni chimbuko la binadamu. Ushahidi wa kisayansi unatokana na nyayo za zamadamu zilizogunduliwa katika eneo la Laetolilililoko kusini kidogo mwa Oltupai, umeongeza uzito wa hoja ya Tanzania kuwa chimbuko la binadamu.
Binadamu wa kwanza kuishi huko huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii yaWasani, halafu Wabilikimo.
Milenia za mwisho Kabla ya Kristowalihamia huko Wakushi kutokakaskazini, nao wakameza kwa kiasi kikubwa wakazi asili, wakaingiza kilimo,ufugaji na uzalishaji kwa jumla.
Katika karne za kwanza BK walifika kwa awamu kutoka magharibi wahamiajiWabantu wenye ujuzi wa kilimo nauhunzi. Nao wakameza kwa kiasi kikubwa wakazi waliotangulia.
Hatimaye Waniloti kutoka kaskazini walizidi kuingia hadi karne ya 18.
Kabla ya kufika kwa ukoloni kulikuwa na madola madogo mbalimbali na maeneo madogo ya kikabila.
Kanda la pwani pamoja na njia za misafara kuelekea Ziwa Tanganyikavilikuwa chini ya athira ya Usultani wa Zanzibar.
Usultani wa Zanzibar

Eneo la Usultani wa Zanzibar mnamo 1885
Usultani huo ulikuwa nchi kwenyepwani ya Afrika mashariki kati ya 1856na 1964.
Tangu 1890 ilikuwa nchi lindwa chini yaUingereza.
Ilianzishwa wakati wa kugawa Usultaniwa Omani mwaka 1856 ikaishia mwaka1964 baada ya mapinduzi ya Zanzibarna muungano na Tanganyika uliozaaTanzania.
Sayyi Said kuhamia Unguja
Usultani ulianzishwa wakati SultaniSayyid Said alipoamua kuhamishamakao makuu yake kutoka Maskat(Omani) kwenda Unguja.
Sayyid Said alikuwa Sultani wa Omani tangu mwaka 1804. Aliimarisha utawalawa Omani juu ya pwani ya Afrika ya Mashariki.
Mwaka 1829 alifaulu kuteka Mombasailiyokuwa mji pekee wa kujitegemea kati ya miji yote ya Uswahilini.
Visiwa vya Unguja na Pemba vilikuwa chini ya Omani tangu mwaka 1689,Wareno walipofukuzwa katika pwani za Uswahilini.
Biashara ya karafuu na watumwa
Sayyid Said aliona nafasi kubwa yabiashara ya karafuu kwa ajili ya soko laUhindi na kwingineko. Mwaka 1829akaanzisha mashamba ya mikarafuu kwa kutumia kazi ya watumwa kutokabara.
Biashara hiyo ikabadilisha uso wa mji wa Zanzibar wa karne ya 19 uliowahi kuwa kijiji kikubwa tu cha vibandakando ya boma lililojengwa na Omani kama kizuizi dhidi ya Wareno.
Baada ya azimio la mwaka 1832 la kuhamisha mji mkuu wa Omani kwenda Unguja, idadi ya wakazi wa mji ilikua haraka.
Nchi za nje zikatambua mji mkuu mpya na kujenga uhusianoUbalozi waMarekani ulijengwa mwaka 1837, Uingereza ukafuata mwaka 1841 naUfaransa mwaka 1844.
Sultani mwenyewe aliondoka kabisa Maskat mwaka 1840. Kukua kwa Zanzibar kulisababisha kukonda kwa mji wa Maskat
Bendera ya Usultani wa Zanzibar
Kugawiwa kwa Omani kulikuwa mwanzo wa Zanzibar
Baada ya kifo cha Sayyid Sultan mwaka1856, usultani wa Oman uligawiwa kati ya wanawe. Sayyid Majid bin Said Al-Busaid (1834/18351870) akawa Sultani wa kwanza wa Zanzibar na kakayake Sayyid Thuwaini bin Said al-Saidakawa Sultani wa Oman akitawala nchi hiyo bila maeneo ya Afrika ya Mashariki.
Usultani mpya ulikuwa nchi yenye nguvu kati ya Rasi Delgado (mpakani nakoloni la Kireno ya Msumbiji) hadiMogadishu (Somalia). Athira yake ilienea kupitia njia za misafara yapembe za ndovu na watumwa hadi mto Kongo.
Wafanyabiashara kama Tippu Tipwaliokuwa raia wa Usultani wakapitaTabora na Ujiji kwenda ziwa Tanganyikana kuingia ndani ya eneo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya leo.Wapagazi wao walibeba bidhaa kutoka Zanzibar zilizobadilishwa kwa pembe za ndovu hasa. Watumwa walikamatwa au kununuliwa wakabeba pembe hadi pwani.

Jumba la Sultani Zanzibar
Sayyid Bargash
Sultani wa pili wa Zanzibar yenyewe, Sayyid Bargash, alijitahidi kujenga uhusiano na nchi za nje. Alifunga soko la watumwa Zanzibar mjini kulingana na mapatano ya kimataifa, lakini akavumilia biashara ya watumwa kuendelea chinichini. Wakati wa Bargash majengo mengi ya Mji Mkongwe yakajengwa.
Mwishowe mwa utawala wake aliona kupungukiwa kwa eneo lake kutokana na mashindano ya nchi za Ulaya ya kuenea katika Afrika baada ya mkutano wa Berlin.
Mwaka 1885 Karl Peters alifanya mikataba ya ulinzi na watawala wadogo waliokuwa chini ya Sultani barani Tanganyika. Upingamizi wa Sultani ulishindikana kwa sababu Wajerumaniwalituma manowari Unguja akapaswa kukubali maeneo mapya ya Wajerumani.
Kuenea kwa ukoloni
Mwaka 1886 mkataba kati ya Uingereza na Ujerumani ulibana eneo la sultani barani katika kanda yenye upana wamaili kumi tu kati ya Rasi Delgado na Mogadishu. Bargash na mfuasi wake Khalifa bin Said waliamua kuuza maeneo hayo au kuyakodisha.
  • 1887/1888 pwani ya Kenyailikodishwa kwa Waingereza. Wakati wa uhuru wa Kenya sehemu hii ikaingizwa katika Jamhuri ya Kenya.
  • Pwani ya Tanganyika ikakodishwa kwa Wajerumani mwaka 1888 na hatimaye kuuzwa mwaka 1890.
  • Miji kwenye pwani ya Somaliaikakodishwa kwa Italia mwaka1892 ikauzwa mwaka 1906, ila Mogadishu mwaka 1924.
Hali halisi usultani ukabaki na visiwa viwili vya Unguja na Pemba tu.
Waingereza walikuwa walisita kuhusu Zanzibar lakini baada ya jaribio la Karl Peters la kufanya mkataba na Sultani ili kuingiza visiwa hivyo katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, Uingereza uliamua kutafuta utawala wa visiwa.
Mkataba wa Zanzibar-Heligoland na mwisho wa uhuru
Mkataba wa Zanzibar-Helgoland kati ya Ujerumani na Uingereza ulileta patano la kuwa Zanzibar itakuwa chini ya Uingereza.
Tangu mwaka 1890 waziri mkuu wa Sultani alikuwa Mwingereza aliyepokeaamri kutoka London.
Tangu mwaka 1913 nafasi ilichukuliwa na afisa mkazi mkuu.
Kwa muda wa miaka 26 usultani ulikuwa na fedha yake ya pekee iliyoitwa Riali ya Zanzibar.
Koloni la Kijerumani
Maeneo yaliyoitwa baadaye (1920) "Tanganyika" na baadaye tena Tanzania Bara yaliunganishwa mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama koloni laUjerumani lililoitwa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani.
Tangu mwaka 1885 Karl Peters, kwa niaba ya Shirika la Ukoloni wa Kijerumani (Gesellschaft für Deutsche Kolonisation) alianza kufanya mikataba na watawala wenyeji katika maeneo yaUsagaraNguruUseguha na Ukamiiliyoweka msingi wa madai yake ya kuchukua utawala mkuu wa maeneo hayo.
Uenezeaji wa Wajerumani uliendelea hasa baada ya kushinda upinzani katikavita ya Abushiri na vita dhidi ya Wahehe.
Koloni lile la Kijerumani lilikuwa kubwa kuliko Tanganyika ya baadaye, maana ilijumlisha pia maeneo ya Rwanda naBurundi pamoja na sehemu ndogo yaMsumbiji.
Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia(1914 - 1918) koloni hilo la Kijerumani lilitekwa na majeshi ya Uingereza naUbelgiji.
Mkataba wa Versailles wa mwaka 1919 ulikuwa na kanuni za kuchukua makoloni yote ya Ujerumani na kuzikabidhi kwa mataifa washindi wa vita. Sehemu kubwa ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani iliwekwa chini ya utawala wa Uingereza, kasoro maeneo ya Rwanda na Burundiyaliyokabidhiwa mikononi mwa Ubelgiji.
Tanganyika Territory ya Kiingereza baada ya kuondoka kwa Wajerumani
Utawala wa Wajerumani ulikoma katika eneo la Tanzania Bara baada ya Ujerumani kushindwa katika vita vikuu vya kwanza vya dunia vilivyodumu kutoka mwaka 1914 hadi mwaka 1918.
Mwaka 1919 sehemu kubwa ya koloni la Kijerumani, ikiwa na wakazi 3,500,000 hivi, ilikabidhiwa rasmi mikononi mwa Uingereza kama eneo lindwa chini yamamlaka ya Shirikisho la Mataifakulingana na kifungo 22 cha mkataba wa Versailles.
Mwaka 1922 Shirikisho la Mataifa lilithibitisha hatua hiyo na kuamua masharti ya kukabidhi.
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni hilo na tangu Januari 1920wakaamua kuliita "Tanganyika Territory" kwa kutumia jina la ziwa kubwa upande wa mashariki ya eneo. [1]
Uhuru na Muungano
Julius Nyerere akidai uhuru wa Tanganyika mwaka 1961.
Tanganyika ilipata uhuru wake tarehe 9 Desemba 1961.
Zanzibar ilipata uhuru wake tarehe 10 Desemba1963. Uhuru wa usultani ukadumu muda mdogo tu. Mapinduziya tarehe 12 Januari 1964yakamuondoa Sultani. Mauaji ya familianyingi zenye asili ya Kiarabu yakafuata.
Tarehe 26 Aprili 1964 Tanganyika naZanzibar ziliungana kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hapo kiongozi wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipata kuwa Raiswa kwanza (1964-1985) na kiongozi wamapinduzi ya Zanzibar Abedi Amani Karume akawa Makamu wa Kwanza wa Rais.
Tanzania Telegram Groups, Magroup ya Telegram Tanzania, chini ya Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (1985-1995) iliruhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania na kuanza mpango wa kurekebisha uchumi kuendana na masharti ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani.
Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa (1995-2005) aliendeleza mfumo wa uchumi wa soko huria ambapo 8mashirika ya umma yanabinafsishwa.
Tarehe 21 Desemba 2005 Jakaya Kikwete aliapishwa kuwa Rais wa nne wa taifa (2005-2015), naye aliendeleza sera za watangulizi wake akitokea chama hichohicho cha CCM.
Don't forget to subscribe  In our channel and share this post..

COMMENTS

BLOGGER: 2
Thanks for your comment

Responsive Advertisement
Name

2d,2,A-Level,1,accounting,1,adobe,1,Advance,1,Airtel free internet,1,Album,11,album mpya ya alikiba,1,alikiba new song,2,android,9,Animation,9,application,3,arduino,3,Asphalt 9 legend,1,Avatar,2,Avengers,3,avengers 4,1,Avengers 4 end game,1,avengers 4 endgame,1,bboy,4,beats,1,best,1,Black Adam,1,bongo flavour,1,bravo z11,1,c language,1,captain marvel,1,carter v,1,celebration,1,chainsmoker,1,charismas Songs,1,Charlie Puth,1,Chef,1,Christ mass,2,clouds fm,1,Coding,2,comics,2,Commands,1,computer,1,cooking,1,corona wamefika wangapi tanzania,1,Cracker,1,custom roms,1,dancing,2,Darasa na mario chanda chema,1,dawa ya corona madagascar,1,dawa ya corona yaletwa tanzania,1,dawa ya corona yapatikana,1,DC,1,Disney,2,Dj Khalid,1,Doctor,2,download,15,download captain marvel movie full HD,1,download game,2,electric,1,end game,1,English,1,entrepreneur,4,Excel,1,family,3,fighting game,1,file,1,firm ware,3,firmwares,2,form 5 first selection,1,form five,1,form five second selection,1,Form Four Past Papers,1,form six,1,Form Two Past Papers,1,Form Two Past Papers Questions and Answers,1,friends,1,gamers,4,games,10,God Did,1,gospel,2,gta 5,1,habari mpya leo,1,habari mpya tanzania,1,hackers,2,hackers wallpaper,1,Hacking,7,hakeem bamuyu,1,Hakeem Bamuyu - Jela | Video& Audio,1,hakimu bamuyu,1,harmonize ft angela all nignt,1,harmonize ft angella audio,1,harmonize ft angella official video,1,Harmonize Ft Anjella - All Night (download pm3),1,hesabu,1,Hip Hop,1,hisabati,1,history,3,Home alone,2,how to be attractive,1,inventor,1,ios,4,iron man,1,jconnectiontz,1,jela,1,jipatie pesa mtandaoni kwa ku search tu kwenye google,1,jobs,1,kadogo,1,kali Linux,2,kali Linux 2019.1,1,kids,3,know things about hackers,2,Life hack,7,lil wayne,1,linux,1,love,1,lovers,1,Maisha,1,majibu ya mitihani,1,majina ya walio chaguliwa kujiunga na kidato cha nne mwaka 2018,2,mama,2,Marry X-mass Songs,1,marvel,5,mason.,1,mathematic,1,Matokeo Darasa la Nne,1,Matokeo darasa la Saba,1,Matokeo Kidato cha Nne,1,Matokeo Kidato cha Pili,1,matokeo NECTA,1,matokeo ya darasa la saba 2020,2,matokeo ya darasa la saba 2021 necta,2,matokeo ya darasa la saba 2022,2,matokeo ya motihani,5,Matokeo ya QT,1,Microsoft,2,mitihani,1,mitihani darasa la saba,1,mitihani na majibu,1,Mitihani ya kujipima,1,Mobisol,1,Money,1,mother,1,motivation,1,movie,18,movie kali zote,1,movies,2,Music,1,musician,4,Muvi kali 2019,1,Namna ya kumvutia kila mtu,1,nani ni hacker,2,naruto wallpapers hd,2,NECTA,4,new mods,1,Nfs most wanted,1,nice games. 2019 games,1,notes,9,nyimbo kali,1,online radio,3,panther,1,Past Papers,2,past papers 2022,1,patapesa,1,PDF,11,Pes,1,Picha,4,pictures,1,PlayStation,1,png naruto pics,1,private school past papers,1,pro evolution Soccer,1,programming,2,ps3,2,Psn,2,Qriket app download,1,Questions and Answers Free Download,1,quotes,3,radio one,1,radio ya taifa,1,Ragnarock,2,reason,1,search na google,1,shadow fight highly compressed,1,shule walizopangiwa,2,Sick Boy Save Yourself,1,Simulizi,1,singer,1,software,1,Songs,9,Spider man,2,Standard Four mpangilio wa ufaulu-Kitaifa & Mikoa pdf file,1,Steve jobs,2,stockroms,1,Story,3,Story za Maisha,1,style,1,Sun King,1,Tanzania,3,tbc fm,2,Technical drawing,1,Technology,2,tecno firmwares,1,Templates,1,tengeneza pesa na google,1,there you have it,1,thor,1,tigo fiesta,1,Token taker,1,tricks,7,triple threat,1,ummy mwalimu,1,valentine day,1,vichekesho,2,video,1,vitabu vya darasa la saba,1,Voice Notes,1,wakanda,1,war,1,welcome,4,West life,1,who is whackers,1,windows 10 on android,1,Word,2,x-men,2,Zip,1,Zola,1,
ltr
item
J CONNECTION TZ: fahamu historian ya Tanzania.
fahamu historian ya Tanzania.
https://2.bp.blogspot.com/-9wLjoodXKJg/Wz4FIiClolI/AAAAAAAAAWo/xOgPQPCkt-A87ASICNxTewB2YH3wBMikgCLcBGAs/s1600/images.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-9wLjoodXKJg/Wz4FIiClolI/AAAAAAAAAWo/xOgPQPCkt-A87ASICNxTewB2YH3wBMikgCLcBGAs/s72-c/images.jpg
J CONNECTION TZ
https://jconnectiontz.blogspot.com/2018/07/fahamu-historian-ya-tanzania.html
https://jconnectiontz.blogspot.com/
https://jconnectiontz.blogspot.com/
https://jconnectiontz.blogspot.com/2018/07/fahamu-historian-ya-tanzania.html
true
3165921205566839516
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content