JIKWAMUE KIUCHUMI MTANDAON I Nafahamu ni watu wengi ...
JIKWAMUE
KIUCHUMI MTANDAONI
Nafahamu ni watu
wengi sana wamefikiria ni namna gani ya kujipatia kipato mtandaoni, N
jibu ni ndio kujipatia kipato kupitia mitando inawezekana. Lakini
inakupasa kufanya kazi kwa bidii na kuepuka kukatishwa tamaaa na
baadhi ya watu wasio kua na uelewa kuhusu masuala ya mitandao. Kitu
cha muhimu cha kuzingatia nikwamba unapaswa kuepuka watu ambao wana
kuambia “ jiunge na mtandao fulani na kwa mda mfupi tu utapata
utajiri, au bonyeza link hii kupata pesa au share hii message kwa
watu utapata fedha”.
Ukweli ni kwamba
kupata fedha mtandaoni inajulikana na sio kitu cha mkato hivyo
usipende kufuata application ambazo hazina ukweli na baadhi ya
mitandao isiyo tambulika.
Kwa uzoefu tulio
nao kuhusu masuala ya mtandaoni ni kwamba unaweza kuzipokea au
kuzikusanya fedha ambazo umetafuta mtandaoni kupitia Google Adsense
na PayPal. Je ni njia gani ambayo unaweza kupata fedha mtandaoni…?
Jibu ni kwamba
kujipatia fedha mtandaoni kumegawanyika katika makundi yafuatayo.
1. KUPAKUA
APPLICATIONS
Njia hii ya
kujipatia kipato ni rahisi sana na pia inakuhitaji uwe mvumilivu
kusubiri ili ufikishe kiwango cha kuzitoa fedha zako, Na baadhi ya
Application ambazo nazifahamu na ninazitumia kupata fedha ni
AppKarma, Qricket, LinkShrink. Nafahamu kunazo Application nyingi
zaidi ya hizi Tatu lakini nimeamua kuziandika Tatu kwa sababu ni
rahisi sana ku pambana na application chache ili zisikuchoshe na
uweze kupata fedha kwa unafuu. Maelezo kuhusu izo applications. Nime
yaweka kwenye hii link. READ MORE…
2.KUJIUNGA NA
BLOGGER
Najua itakua sio
mara yako ya kwanza kusikia ichi kitu “blogger” Kiufupi blogger
ni platform ambayo inayo kuwezesha kupata fedha kwa
kushare(kushiriki) mawazo yako au vitu unavyo vipenda kwa jamii, vitu
hivyo vinaweza vikawa ni Michezo, Muziki, Movies, habari, Mafunzo
n.k.
namna ya kujiunga na
blogger imeeelezewa hapa. READ MORE…
3. KUFUNGUA
CHANNEL YA YOUTUBE
Youtube ni
platform ambayo inalipa watu wake kwa kuziwezesha video zako
kuonyesha matangazo (MONETIZATION), kitu cha msingi cha kufanya ni
kwamba jitahidi uweze kutengeneza video zenye kueleweka na pia
usinakili video za watu wengine na kuziweka kwenye channel yako kwa
sababu itakusababishia kushindwa kupata fedha na kufungiwa. Hivyo
basi kaachini na utafakari ni vitu gani unawza kufanya na kipi
unakipenda zaidi kisha anzisha channel yako, namna ya kufungua
channel ya youtube imeelezewa hapa. READ MORE…
Natumaini utakua
umepata uelewa juu ya masuala ya mtandaoni, kama kunakitu ujakielewa
au unahitaji maelezo zaidi pamoja na msaada wowote usisite
kutufahamisha kupitia njia zifuatazo.
Phone ==>
0742979694.
==>
0738729166.
Namba hizo apo
utatupata pia kupitia whatsApp.
Social media
Facebook ==> J
connection Tz
Instagram ==> J
connection Tz
COMMENTS