middle ad

Application ambazo zinalipa kwa uhakika. (Jconnection Tz)

Application ambazo zinalipa kwa uhakika


Habari, leo tutaangalia programu ambazo zinaweza kukufanya uwe na hofu. Natumaini utakuwa na uwezo wa kusikia kuhusu kupata fedha mtandaoni, habari ni kweli.

Kabla ya kusonga mbele ni bora kujua jinsi ya kupata pesa, pesa unazopata mtandaoni mara nyingi ni thamani ya dola sasa kwamba unaweza kupata fedha kwenye akaunti ya benki ambayo ni VISA CARD au MASTERCARD ikiwa hutaweza hata kuwa na pesa Moja ya akaunti hizo unaweza kufungua akaunti ya PAYPAL ambayo pia inatumiwa sana kutuma na kupokea fedha, akaunti hii ya PAYPAL itawawezesha pia kupata pesa kutoka kwa programu hizi ambazo hazikuonyesha. Ikiwa unahitaji kujiunga na PAYPAL bonyeza hapa >>>> CLICK

bila kupoteza wakati tunapoangalia maombi hayo ambayo yatakuwezesha kupata pesa




  • Appkarma
  • Cash Pirate
  • Qricket
  • Slidejoy
  • linkshrink




1. AppKarma

Programu hii inakuwezesha kupata pesa kwa kukamilisha baadhi ya kazi, kama vile kupakua programu nyingine, kujibu maswali n.k. Pia kila siku unapoingia  unapewa pointi. Na point hizo unazibadilisha kwa fedha ambapo ukipata (point 1000 = 1$). unahitajika kufanya kazi wanazo kupa kwa umakini iliuweze kulipwa haraka. pia kunayo ofa pale ambapo ukijiunga na kuingiza refferal code inayoitwa MAPATO utapata point 300 hapohapo.

kujiunga na Appkarma bonyeza hapa>>>  DOWNLOAD


kujiunga na Cashkarma bonyeza hapa>>> DOWNLOAD




2. CashPirate

Hapa unapata pesa kwa kukusanya sarafu unazopata kwa kutazama video, kufanya survey na ku angalia video pamoja na ku pakua (download) application nyingine ambazo utaonyeshwa. na pia wakati wa kujiunga na hii hii app unaweza kupata 1000 coins Bure na (= 500 coins kama bonus) kwa kuingiza hii refferal code "YALXRQ".


kujiunga na CashPirate bonyeza hapa>>> DOWNLOAD





3. Quicket

Hii ni moja kati ya application ambayo inaweza kukubadilisha kiuchumi ghafla kwa sababu, inatoa pesa kila baada ya droo kuchezeshwa na washindi wanapewa kuanzia 200$, namna ya kujiunga na droo hiyo ambayo inachezeshwa kila baada ya saa limoja. unacho takiwa kuwa nacho ni SPINS ambazondio kama tiketi za kuingia kwenye droo (kila droo moja unacheza kwa 5Spins). na jambo zuri zaidi ni kwamba droo inachezwa LIVE ukiwa unaona, wakati wa kujiunga ukiingiza hizi code 39D1DB unapata 30Spins Bure.


kujiunga na Quicket bonyeza hapa>>> DOWNLOAD






4.Slide joy

Application hii ya slidejoy kama jina lake lilivyo ndivyo ndivyo hivyo inavyo fanya kazi. ki vipi..?
ni kwamba baada ya ku download hii application itakuwa inakaa katika screen lock, pale ambapo una toa pattern au kuwasha simu yako ndipo unapata marks (KARATA) ambazo ukifikisha KARATA 1000 unapata dola 1$ na jambo zuri ni kwamba unaweza kutoa fedha kuanzia dola moja.

kujiunga na Slide show bonyeza hapa>>> DOWNLOAD




5. Link shrink


Link shrink ni proram ambayo inalipa vizuri sana haimaanishi kwamba imezipita hizo zote apo juu ila kutokana na kazi ambayo unifanya kuwa ni ndogo kwa kiasi flani na malipo ni mengi. kitu cha msingi ni kwamba usikate tamaa. kuitumia hii app ni rahisi unaweka link ambayo unataka kisha una shrink, baada ya ku shrink una copy iyo link ambayo utapewa kisha unaisambaza kwa watu. watu wakisha bonyeza unapata fedha.

kujiunga na link shrink bonyeza hapa>>> DOWNLOAD


Natumaini utakua umesha pata mwongozo wa jinsi ya kupata fedha mtandani kwa njia ya application.
zipo njia nyingine za kupata fedha mtandaoni ntakujuza pindi ntakapo maliza uchunguzi, kwa kuwa kunazo application fake na njia fake kwaiyo kuwa makini.

Thanks for reading bye bye.
      see you on the next tutorial.....

COMMENTS

BLOGGER
Responsive Advertisement
Name

2d,2,A-Level,1,accounting,1,adobe,1,Advance,1,Airtel free internet,1,Album,11,album mpya ya alikiba,1,alikiba new song,2,android,9,Animation,9,application,3,arduino,3,Asphalt 9 legend,1,Avatar,2,Avengers,3,avengers 4,1,Avengers 4 end game,1,avengers 4 endgame,1,bboy,4,beats,1,best,1,Black Adam,1,bongo flavour,1,bravo z11,1,c language,1,captain marvel,1,carter v,1,celebration,1,chainsmoker,1,charismas Songs,1,Charlie Puth,1,Chef,1,Christ mass,2,clouds fm,1,Coding,2,comics,2,Commands,1,computer,1,cooking,1,corona wamefika wangapi tanzania,1,Cracker,1,custom roms,1,dancing,2,Darasa na mario chanda chema,1,dawa ya corona madagascar,1,dawa ya corona yaletwa tanzania,1,dawa ya corona yapatikana,1,DC,1,Disney,2,Dj Khalid,1,Doctor,2,download,15,download captain marvel movie full HD,1,download game,2,electric,1,end game,1,English,1,entrepreneur,4,Excel,1,family,3,fighting game,1,file,1,firm ware,3,firmwares,2,form 5 first selection,1,form five,1,form five second selection,1,Form Four Past Papers,1,form six,1,Form Two Past Papers,1,Form Two Past Papers Questions and Answers,1,friends,1,gamers,4,games,10,God Did,1,gospel,2,gta 5,1,habari mpya leo,1,habari mpya tanzania,1,hackers,2,hackers wallpaper,1,Hacking,7,hakeem bamuyu,1,Hakeem Bamuyu - Jela | Video& Audio,1,hakimu bamuyu,1,harmonize ft angela all nignt,1,harmonize ft angella audio,1,harmonize ft angella official video,1,Harmonize Ft Anjella - All Night (download pm3),1,hesabu,1,Hip Hop,1,hisabati,1,history,3,Home alone,2,how to be attractive,1,inventor,1,ios,4,iron man,1,jconnectiontz,1,jela,1,jipatie pesa mtandaoni kwa ku search tu kwenye google,1,jobs,1,kadogo,1,kali Linux,2,kali Linux 2019.1,1,kids,3,know things about hackers,2,Life hack,7,lil wayne,1,linux,1,love,1,lovers,1,Maisha,1,majibu ya mitihani,1,majina ya walio chaguliwa kujiunga na kidato cha nne mwaka 2018,2,mama,2,Marry X-mass Songs,1,marvel,5,mason.,1,mathematic,1,Matokeo Darasa la Nne,1,Matokeo darasa la Saba,1,Matokeo Kidato cha Nne,1,Matokeo Kidato cha Pili,1,matokeo NECTA,1,matokeo ya darasa la saba 2020,2,matokeo ya darasa la saba 2021 necta,2,matokeo ya darasa la saba 2022,2,matokeo ya motihani,5,Matokeo ya QT,1,Microsoft,2,mitihani,1,mitihani darasa la saba,1,mitihani na majibu,1,Mitihani ya kujipima,1,Mobisol,1,Money,1,mother,1,motivation,1,movie,18,movie kali zote,1,movies,2,Music,1,musician,4,Muvi kali 2019,1,Namna ya kumvutia kila mtu,1,nani ni hacker,2,naruto wallpapers hd,2,NECTA,4,new mods,1,Nfs most wanted,1,nice games. 2019 games,1,notes,9,nyimbo kali,1,online radio,3,panther,1,Past Papers,2,past papers 2022,1,patapesa,1,PDF,11,Pes,1,Picha,4,pictures,1,PlayStation,1,png naruto pics,1,private school past papers,1,pro evolution Soccer,1,programming,2,ps3,2,Psn,2,Qriket app download,1,Questions and Answers Free Download,1,quotes,3,radio one,1,radio ya taifa,1,Ragnarock,2,reason,1,search na google,1,shadow fight highly compressed,1,shule walizopangiwa,2,Sick Boy Save Yourself,1,Simulizi,1,singer,1,software,1,Songs,9,Spider man,2,Standard Four mpangilio wa ufaulu-Kitaifa & Mikoa pdf file,1,Steve jobs,2,stockroms,1,Story,3,Story za Maisha,1,style,1,Sun King,1,Tanzania,3,tbc fm,2,Technical drawing,1,Technology,2,tecno firmwares,1,Templates,1,tengeneza pesa na google,1,there you have it,1,thor,1,tigo fiesta,1,Token taker,1,tricks,7,triple threat,1,ummy mwalimu,1,valentine day,1,vichekesho,2,video,1,vitabu vya darasa la saba,1,Voice Notes,1,wakanda,1,war,1,welcome,4,West life,1,who is whackers,1,windows 10 on android,1,Word,2,x-men,2,Zip,1,Zola,1,
ltr
static_page
J CONNECTION TZ: Application ambazo zinalipa kwa uhakika. (Jconnection Tz)
Application ambazo zinalipa kwa uhakika. (Jconnection Tz)
J CONNECTION TZ
https://jconnectiontz.blogspot.com/p/application-ambazo-zinalipa.html
https://jconnectiontz.blogspot.com/
https://jconnectiontz.blogspot.com/
https://jconnectiontz.blogspot.com/p/application-ambazo-zinalipa.html
true
3165921205566839516
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content