middle ad

STORY ZA MAISHA: USIMHUKUMU MTU YEYOTE

Story za Maisha ni Nzuri kwakua Zinafundisha na Kutia Moyo. Simulizi Hii inanzia pale Ambapo. Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya

 Story za Maisha ni Nzuri kwakua Zinafundisha na Kutia Moyo. Simulizi Hii inanzia pale Ambapo.

Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya kuitwa kwa shughuli ya Upasuaji wa haraka, alipokea simu haraka, na kuvaa nguoza kazi na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba cha upasuaji.

Wakati akielekea kwenye chumba cha upasuaji alimkuta Baba wa mtoto anazunguka huku na huku karibu na chumba hicho akimsubiria Daktari.
Baada ya kumuona tu, Baba mtoto akapayuka: “ Kwanini umechelewa kuja? Hufahamu kama maisha ya Mtoto wangu yapo hatarini? Hivi unayajua majukumu yako?”
Yule Daktari alitabasamu na kumwambia: “ Samahani sana, Sikuwa Karibu na Hospitali na nimejitahidi kuja kwa haraka sana baada ya kupokea simu kutoka hapa hospitalini….. Na kwakuwa nimeshafika ningekuomba upunguze jazba na hasira ili nifanye shughuli yangu” “Punguza hasira?!
Hivi ingekuwaje kama Mwanao ndiye angekuwa chumba cha upasuaji sasa hivi, ungeweza kupunguza hasira? Kama mwanao ndiye angekuwa anakufa sasa hivi ungefanyaje?” Yule Baba aliongea kwa hasira sana.

Yule Daktari alitabasamu tena na kumjibu: “Daktari hawezi kurefusha maisha ya Binadamu. Nenda katulie na umuombee mwanao, sisi tutajitahidi kadri kwa uwezo tulionao kwa Baraka za Mwenyezi Mungu”

“Kutoa Ushauri kwa vitu visivyo wahusu ni rahisi sana” Alinong’ona yule Baba mwenye mtoto.
Upasuaji ulifanyika kwa masaa kadhaa mara tu baada ya kumalizika Daktari alitoka akiwa anafuraha, “Asante Mungu! Mtoto wako amepona!” Kama una swali lolote utamuuliza Nurse!!” Bila ya kumsubiri Baba Mwenye mtoto kujibu chochote aliondoka kwa haraka kwenye eneo la upasuaji.
“ Kwa nini ni mkorofi sana huyu Daktari? Yaani hawezi hata kusubiri kidogo nimuulize maendeleo ya mwanangu” Baba wa mtoto alimjadili akiwa na nurse baada ya Daktar kuondoka.
Nurse akamjibu, huku akitokwa na machozi:
“Mtoto wake alifariki jana kwenye ajali ya gari, alikuwa katika mazishi ya mtoto wake wakati tunampigia simu aje Hospitali kwa ajili ya upasuaji wa mtoto wako. Amefanikiwa kuyaokoa maisha ya mtoto wako, kwahiyo ameondoka kuwahi mazishi ya mtoto wake.”Funzo katika Story za Maisha :

FUNZO

1. “USIMHUKUMU MTU YEYOTE…. SABABU HUYAJUI MAISHA YAKE NA KIPI
KILICHOMKUTA KWENYE MAISHA YAKE.
2. “TENDA WEMA KADRI UWEZAVYO BILAYA KUJALI HALI ULIYONAYO

COMMENTS

BLOGGER
Responsive Advertisement
Name

2d,2,A-Level,1,accounting,1,adobe,1,Advance,1,Airtel free internet,1,Album,11,album mpya ya alikiba,1,alikiba new song,2,android,9,Animation,9,application,3,arduino,3,Asphalt 9 legend,1,Avatar,2,Avengers,3,avengers 4,1,Avengers 4 end game,1,avengers 4 endgame,1,bboy,4,beats,1,best,1,Black Adam,1,bongo flavour,1,bravo z11,1,c language,1,captain marvel,1,carter v,1,celebration,1,chainsmoker,1,charismas Songs,1,Charlie Puth,1,Chef,1,Christ mass,2,clouds fm,1,Coding,2,comics,2,Commands,1,computer,1,cooking,1,corona wamefika wangapi tanzania,1,Cracker,1,custom roms,1,dancing,2,Darasa na mario chanda chema,1,dawa ya corona madagascar,1,dawa ya corona yaletwa tanzania,1,dawa ya corona yapatikana,1,DC,1,Disney,2,Dj Khalid,1,Doctor,2,download,15,download captain marvel movie full HD,1,download game,2,electric,1,end game,1,English,1,entrepreneur,4,Excel,1,family,3,fighting game,1,file,1,firm ware,3,firmwares,2,form 5 first selection,1,form five,1,form five second selection,1,Form Four Past Papers,1,form six,1,Form Two Past Papers,1,Form Two Past Papers Questions and Answers,1,friends,1,gamers,4,games,10,God Did,1,gospel,2,gta 5,1,habari mpya leo,1,habari mpya tanzania,1,hackers,2,hackers wallpaper,1,Hacking,7,hakeem bamuyu,1,Hakeem Bamuyu - Jela | Video& Audio,1,hakimu bamuyu,1,harmonize ft angela all nignt,1,harmonize ft angella audio,1,harmonize ft angella official video,1,Harmonize Ft Anjella - All Night (download pm3),1,hesabu,1,Hip Hop,1,hisabati,1,history,3,Home alone,2,how to be attractive,1,inventor,1,ios,4,iron man,1,jconnectiontz,1,jela,1,jipatie pesa mtandaoni kwa ku search tu kwenye google,1,jobs,1,kadogo,1,kali Linux,2,kali Linux 2019.1,1,kids,3,know things about hackers,2,Life hack,7,lil wayne,1,linux,1,love,1,lovers,1,Maisha,1,majibu ya mitihani,1,majina ya walio chaguliwa kujiunga na kidato cha nne mwaka 2018,2,mama,2,Marry X-mass Songs,1,marvel,5,mason.,1,mathematic,1,Matokeo Darasa la Nne,1,Matokeo darasa la Saba,1,Matokeo Kidato cha Nne,1,Matokeo Kidato cha Pili,1,matokeo NECTA,1,matokeo ya darasa la saba 2020,2,matokeo ya darasa la saba 2021 necta,2,matokeo ya darasa la saba 2022,2,matokeo ya motihani,5,Matokeo ya QT,1,Microsoft,2,mitihani,1,mitihani darasa la saba,1,mitihani na majibu,1,Mitihani ya kujipima,1,Mobisol,1,Money,1,mother,1,motivation,1,movie,18,movie kali zote,1,movies,2,Music,1,musician,4,Muvi kali 2019,1,Namna ya kumvutia kila mtu,1,nani ni hacker,2,naruto wallpapers hd,2,NECTA,4,new mods,1,Nfs most wanted,1,nice games. 2019 games,1,notes,9,nyimbo kali,1,online radio,3,panther,1,Past Papers,2,past papers 2022,1,patapesa,1,PDF,11,Pes,1,Picha,4,pictures,1,PlayStation,1,png naruto pics,1,private school past papers,1,pro evolution Soccer,1,programming,2,ps3,2,Psn,2,Qriket app download,1,Questions and Answers Free Download,1,quotes,3,radio one,1,radio ya taifa,1,Ragnarock,2,reason,1,search na google,1,shadow fight highly compressed,1,shule walizopangiwa,2,Sick Boy Save Yourself,1,Simulizi,1,singer,1,software,1,Songs,9,Spider man,2,Standard Four mpangilio wa ufaulu-Kitaifa & Mikoa pdf file,1,Steve jobs,2,stockroms,1,Story,3,Story za Maisha,1,style,1,Sun King,1,Tanzania,3,tbc fm,2,Technical drawing,1,Technology,2,tecno firmwares,1,Templates,1,tengeneza pesa na google,1,there you have it,1,thor,1,tigo fiesta,1,Token taker,1,tricks,7,triple threat,1,ummy mwalimu,1,valentine day,1,vichekesho,2,video,1,vitabu vya darasa la saba,1,Voice Notes,1,wakanda,1,war,1,welcome,4,West life,1,who is whackers,1,windows 10 on android,1,Word,2,x-men,2,Zip,1,Zola,1,
ltr
item
J CONNECTION TZ: STORY ZA MAISHA: USIMHUKUMU MTU YEYOTE
STORY ZA MAISHA: USIMHUKUMU MTU YEYOTE
Story za Maisha ni Nzuri kwakua Zinafundisha na Kutia Moyo. Simulizi Hii inanzia pale Ambapo. Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgevD7ArRsN04GMBQKEefN22HNumusnGpJZmRDymMowQerp5rzDuHu5yWaiVVCcFVJGPWWmWQ3PJ8-u4-jzsT8ZIUCzVSYgDgBC5-tWPrEWbWApHSFXlBhdkofT_2wolnvcog1wEkfxcxg564CXcqNzjURrPvb-MUtCQ86OabZPw9_0ngx7iIT7BPrx/s1600/Story%20za%20Maisha.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgevD7ArRsN04GMBQKEefN22HNumusnGpJZmRDymMowQerp5rzDuHu5yWaiVVCcFVJGPWWmWQ3PJ8-u4-jzsT8ZIUCzVSYgDgBC5-tWPrEWbWApHSFXlBhdkofT_2wolnvcog1wEkfxcxg564CXcqNzjURrPvb-MUtCQ86OabZPw9_0ngx7iIT7BPrx/s72-c/Story%20za%20Maisha.jpg
J CONNECTION TZ
https://jconnectiontz.blogspot.com/2022/09/story-za-maisha-usimhukumu-mtu-yeyote.html
https://jconnectiontz.blogspot.com/
https://jconnectiontz.blogspot.com/
https://jconnectiontz.blogspot.com/2022/09/story-za-maisha-usimhukumu-mtu-yeyote.html
true
3165921205566839516
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content